Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma waliandamana jana wakitaka wapewe asilimia 100 ya mikopo inayojumuisha fedha za kujikimu na ada. vyuo vikuu vya umma ambavyo viko katika mgomo ni ni Chuo Kikuu cha Dar es salaam na mtawi yake Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam (DIT) na chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Dar es salaam (DUCE)
Toa maoni
Friday, November 7, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment