Showing posts with label Wanafunzi sehemu ya UDSM main campus wakiwa kwenye maandamano kuishinikiza serikali iwasaidie mkopo kwa asilimia mia kutokan na wengi wao kuwa watoto wa masikini.. Show all posts

Friday, November 7, 2008

Maandamano

Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma waliandamana jana wakitaka wapewe asilimia 100 ya mikopo inayojumuisha fedha za kujikimu na ada. vyuo vikuu vya umma ambavyo viko katika mgomo ni ni Chuo Kikuu cha Dar es salaam na mtawi yake Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam (DIT) na chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Dar es salaam (DUCE)

Toa maoni